+255-22-2760548 / 2760552 info@osha.go.tz

MALALAMIKO(https://www.osha.go.tz/contacts)

Piga Bure: 0800110091/2

English(https://www.osha.go.tz/news-details/76?language=eng)

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI

Posted On: August 12, 2026

KAMATI YA BUNGE YAISHAURI SERIKALI KUIONGEZA WATAALAM OSHA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeishauri Serikali kuiongezea wataalam Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) ili Taasisi hiyo iweze kuimarisha afya, usalama na ustawi wa wafanyakazi nchini.

Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Hawa Chakoma, Bungeni Jijini Dodoma (Agosti 12, 2026), alipokuwa akifungua kikao cha Kamati kilicholenga kupitia taarifa ya utekelezaji wa Sheria ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi, Sura Namba 297, Toleo ya 2023 ikiangazia mwenendo wa usajili wa maeneo ya kazi pamoja na utoaji wa elimu ya usalama na afya mahali pa kazi kwa umma kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Taarifa hiyo iliwasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu ambaye aliambatana na wataalam katika Ofisi yake akiwemo Katibu Mkuu, Bi.